Uchambuzi wa Matukio

Ushirikiano kati ya Marekani na Uturuki na kundi la PKK

Uchambuzi wa Matukio

 

Jeshi la Uturuki lilianza operesheni yake dhidi ya ugaidi  wa kundi  la YPG   kwa lengo la kuwaondoa wanamgambo wa kundi hilo Afrin  na  katika eneo la mpakani mwa Uturuki na Syria.

Ushirikiano baina ya Marekani na Uturuki uliokuepo umeonekana kupoza thamani yake kwa kuzuka hali isioridhisha baina ya Uturuki na Marekani kutokana na kitendo cha Marekani kushirikiana  na kundi hilo ambalo ni kundi la kigaidi.

Licha ya Uturuki kushughulishwa na suala zima la kulinda maipka yake na vitisho vya ugaidi kutoka katika makundi ya kigaidi katika ukanda, Marekani  imetoa usaidi kwa kundi hilo la kigaidi. Uturuki ilianzisha opesheni hiyo sio kukalia kimabavu Syria bali kuwaondoa magaidi  Syria  na kuhakikisha usalam a katika  mipaka yake.

Marekani meoneka kuendelea kutetea kitengo cha kutoa usaidizi kwa kundi la wanamgambo ambalo ni tawi la kundi la kşgaidi la PKK Syria.

Kutoka na kitendo hicho  ambacho kimetendwa na mwanachama wa NATO  dhidi ya mwanachama mwingine wa NATO hali ya mzı-utano wa kidiplomasia  ililazimika kutokea kwa kuwa haikuwa jambo la kuridhisha.  Kuunga mkono makundi ya kşgaidi ni jambo ambalo haliwezi kuungwa mkono na jimbo linalostahili kukemewa.

Tunatakiwa kutazama  matuko katika historia kama  maandamano yaliotokea katika mataifa ya kiarabu na kulekea uongozi uliokuwepo kuondoka madarakani kama ilivyotokea nchini Misri. Jaribio la Mapindu la Julai 15 mwaka 2016  na kupewa hifadhi kiongozi wa kundi la FETÖ kumepelekea pia Marekani na  Uturuki ushirikiano wao kuyumba na kuwa na mizozo ya kisiasa na kidiplomasia.

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amesema kuwa   ushirikiano baina ya Uturuki na Marekani  upo katika hali isioridisha kutokana na suala zima la ushirikiano unaonekana kati ya Marekani na tawi la kundi la kigaidi.

Katika mazzungumzo yaliofanyika baina ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki na Rex Tillerson wa Marekani , Rex Tillerson alisema kuwa Marekani inaelewa vema wasiwasi wa Uturuki kufuati asuala hilo. Uturuki ikwa upand e wake ilifahamisha kuwa umechoshwa na ahadi zilizotolewa . Mapambano dhidi ya kundi l a kigaidi la Daesh hayitaji kushirikiana na kundi la  kigaidi.

Kutokana na kwamba  muafaka kuhusu suala hilo haukufikiwa, Uturuki ililazimika kuchukuwa hatau ili kuhakikisha usalama wake.

Kurejesha imani katika ushirikiano  baina ya Uturuki na Marekani itachukuwa muda kiasi.

Naibu waziri mkuu wa Uturuki Bekir Bozdağ  alisema kuwa ni wajibu pia kwa uTuruki kuhakikisha usalama katika mipaka yake  na mradi kuhusu suala hilo  unaandaliwa.  Marekani inatakiwa kuacha ushirikiano na wanamgambo wa kundi la PKK/KCK/PYD/YPG , wanamgbmo ambao hajaribu kwa hal ina mali kudhuru ardhi ya Uturuki.

Lengo la Uturuki kuaondoa  mizizi moja kwa moja ya makundi ya kigaidi katika mipaka yake na kuhakikisha usalama katika eneo zima.  Makundi ya kigaidi yanacheza mchezo wa kubadili majina   yakidhani kuwa  yataokuwa mafichoni na kunusrika. Ukweli wa mambo ni kuwa  makundi hayo yatasalia kuwa makundi ya kigaidi na hayatokuwa na  uwezo wa kuweka kiini macho kuhusu uwepo wao.

Kundi la PYD na kundi la YPG ni makundi ya  kigaidi na yatasalia kuwa makundi ya  kigaidi, yatapigwa vito hadi kutakapo hakikishwa kuwa magaidi hao wameondolewa moja kwa moja.

Magaidi  hao wamepewa usaidi wa mfunzo ya kijeshi, silaha na vyombo  ambavyo  ni mahitaji  katika  kuendesha shughuli ya za kigaidi.

 Yote hayo alifahamisha Rex Tillerson katika izra yake nchini Uturuki alipokutana na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki.  Rex Tillerson alikutana na rais Recep Tayyıp Erdoğan na kufanya mazungumzo yaliochukuwa muda. Walizungumzia masula tofauti yanayohusu Uturuki na Marekani.  Katika mazungumzo yao viongozi hao walisema kuwa mataifa yao ni mataifa washirika  wa kimkakati .

Kulipangwa hatua mpya ambayo  itahusu mazungumzo ili kufikia katika kutatua  mgogo wa Syria Magharibi. Mazungumzo  Munich kwa mmoja au mwingine ni wazi kuwa Uturuki haiwezi kamwe kufanya mazungumzo na magaidi wa YPG/PKK.

Tatizo bain aya Marekani na Uturuki  ni kuhusu aumuzi wa Maraekanai kuto a msaada kwa kundi la wanmagmbo wa  PKK/PYD.

Jambo hilo  Uturuki imeonekana kuwa msimamo uliokuwa wa kawaidi uliochukiliwa na rais Erdoğan. Uturuki ilifahamisha wazi kuwa haitofumbia macho kwa kuwa sauala hşlo lilizungumzwa kwa muda mrefu. Uturuki  na mtazamo wake kuhusu jambo   hilo ambalo sio kulenga dhehebu lolote bali ugaidi.

Mazungumzi yalioendeshwa katika vyombo vya  habari , usaidizi  katika mtazamo huo ulitolewa kwa lengo la kulinda  maslahi ya taifa  ya Uturuki .

Marekani kwa uapnde mwğngine  inadaia kuwa inatetea haki za binadamu  na kusema kuwa falme za kiarabu  na kushirikiana na Mashariki ya Kaati, Saudi Arabia, Misri  na mataifa mengine kumeonekana kuwa hakuna  jambo hilo. Uturuki  imesimama kidete kupigania jambo hilo haki za binadamu.

Katika jaribo la mapinduzi Marekani ilifhamisha kuwa ipo katika uchunguzi na kufahamşsha baada ya uchunguzi ni nanai aliehusika na jaribo hilo ambalo lilikemewa ulimwenguni kote. Raia wa Uturuki walimiminika mabarabarani kupinga jariboa hilo na matokeo yake yalishuhudiwa. İlikuwa ni kipinbdi ambapo kulishuhudiwa pia  muamko wa raia wa Uturuki ulionekana kuwa kama  mabadiliko katika ushirikina baina ya Marekani na Uturuki.

Uwepo wa wafuasi wa kundi la FETÖ mMarekani umepelekea Uturuki na Marekani  kama ilivyofahamishwa na idara ya ujasusi ya Marekani ya CIA.
Nyaraka kuhusu kiongozi wa kundi la FETÖ zinazothibitisha wazi kuwa anahusika na jaribioa la mapinduzi zilitumwa Marekani kama ushahidi.
Maoja ya mambo na matukio yalioyumbisha ushirikiano baina ya Uturuki na Marekani  jaribio  na kumuondoa madarakanş Mohammed Morsi katika utawala nchini Misri.

Uturuki kuhusu jambo hilo ilikuwa katika hali ya kutaka kulinda utawa wa rais Morsi baada ya maandamano yaliopelekea mabadiliko nchini Misri, Marekani ilikuwa ikiitama jicho baya  ikiituhumu kuunga mkono uongozi wa serikali inayoonekana kuwa serikali ya msimamo mkali wa kidini. Uturuki ilitoa ushirikiano na Morsi jambo ambalo lilionekana kuwa Marekani ingepoteza ushawishi wake Mashariki ya Kati. 

Mabadiliko yalioonekana nchini Misri ni wazi kuwa hayakuridhisha Marekani kwa kuwa hayakuwa na maslahi kwa Marekani kwa kuwa mtazamo unaonesha kuwa chaguzi zinazoandaliwa  Mashariki ya Kati matokeo yake yakiwa yale yasiotarajiwa  na kuonekana kuwa upande unaopinga sera za Marekani katika ukanda huo basi huchukuliwa kama maslahi ya Marekani yatakuwa katika hatari.

 


Tagi: YPG , Marekani

Habari Zinazohusiana