Rais Erdoğan asoma Quran Takatifu katika hafla ya kuwakumbuka mashujaa wa Julai 15 Uturuki

Rais Erdoğan asoma Quran Takatifu katika hafla ya kuwakumbuka mashujaa waliofariki wakitetea umoja na demokrasia Julai 15 mwaka 2016 katika jaribio la mapinduzi.

Sala  ya "hitma" imefanyika katika mskiti  unaopatikana ikulu mjini Ankara