Jeshi la Uturuki langia mjini kati Afrin nchini Syria

Jeshi la Uturuki katika operesheni yake dhidi ya ugaidi ilioanzishwa Afrin nchini Syria limeingia mjini kati  humo  na kupandisha bendera ya Uturuki ikiwa ni ishara ya kuwaondoa magaidi katika eneo hilo.


Tagi: Syria , Afrin