Handaki na hifadhi za silaha za magaidi Afrin

Jeshi la Uturuki  katika operesheni yake dhidi ya ugaidi limegundua handaki la magaidi wa kundi la YPG/PKK lenye vyomba 12 wanamohifadhia sialaha zao walizopewa msaada.
Operesheni ya Tawi la Mzaituni Syria inaelekea ukingoni kwa kuwaondoa magaidi na kupandisha bendera ya Uturuki.
Baada ya kuhahakisha kuwa magaidi wameondoka, wakaazi wa Afrin watarejea katika makaazi yao.