Magaidi waendelea kushambuliwa Iraq

Magaidi wa PKK

Magaidi waendelea kushambuliwa Iraq

Magaidi wa PKK wameendelea kushambuliwa na jeshi la Uturuki Iraq.

Kwa mujibu wa habari,magaidi wanne wameangamizwa katika mashambulizi ya anga katika eneo la Metina kaskazini mwa nchi hiyo.

Magaidi wengine 19 wameangamizwa katika operesheni Zap na Hakurk.

Uturuki imeahidi kupambana na magaidi ndani na nje ya mipaka yake.


Tagi: Iraq , PKK

Habari Zinazohusiana