Rais Erdoğan atembelea uwanja wa ndege wa 3  mjini Istanbul katika maonesho ya TEKNOFEST

Rais wa Uturuki  atembelea  uwanja wa ndege wa tatu wa mjini Istanbul katika maonesho ya vifaa vya anga TEKNOFEST

Rais Erdoğan atembelea uwanja wa ndege wa 3  mjini Istanbul katika maonesho ya TEKNOFEST

Rais Erdoğan atembelea uwanja wa ndege wa tatu mjini Istanbul  katika maonesho ya vifaa vya anga akiwa katika ndege  ndege ya kivita ya ATA akishindikizwa na ndege nyingine ya  kivita ya F-16 ambayo ilikuwa ikiendeshwa na waziri wa ulinzi Hulusi Akar.  

Moanesho ya  vifaa vya anga na teknolojia ya kisasa TEKNOFEST yamefanyika mjini Istanbul.

Maonesho hayo yamefanyika kwa udhamini mkubwa wa Aselsan, Roketsan, Baykar, Turkish Airlines na baraza la utafiti wa kisayansi TUBITAK na Turksat.Habari Zinazohusiana