Rais Erdoğan atoa shukrani kwa amir wa Qatar kwa ushirikiano wake na Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan atoa shukrani kwa amiri wa Qatar al Thani kwa ushirikiano wake alioonesha kwa Uturuki

Rais Erdoğan atoa shukrani kwa amir wa Qatar kwa  ushirikiano wake na Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan ametoa shukrani kwa amir wa Qatar Sheikh Tamim bi  Hamed al Thani kwa  kuonesha ushirikiano wake na Uturuki.

Rais Erdoğan amenadika ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter  akitoa shukrani kwa amir wa Qatar na taifa zima la Qatar kwa ushirikiano wake na Uturuki.

Rais Erdoğan amesema kuwa mkutano aliofanya na al Thani ikulu ulikuwa na umuhimu katika ushirikiano kati ya Uturuki na Qatar.

Kwa kumalizia rais wa Uturuki amesema kuwa ushirikiano katika sekta  tofauti baina ya Uturuki na Qatar utaendelea kuimarika.

 Habari Zinazohusiana