Ujumbe wa Makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay kuhusu Julai 15

Makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay atoa ujumbe  kuhusu jaribio la mapinduzi  Julai 15

Ujumbe wa Makamu wa rais wa Uturuki Fuat  Oktay kuhusu Julai 15

 

Makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay  azungumza kuhusu jaribio la mapinduzi la Julai 15 lililoendeshwa nchini Uturuki na kuzuiliwa na raia wazalendo wa Uturuki walioingia mabarabarani baada ya kutolewa wito na rais Erdoğan.

Makamu wa rais wa Uturuki amesema kuwa raia wa Uturuki watandelea kulililnda taifa lao  na  bendera yao  na wakati ujao baada ya jauribio la mapinduzi la mwaka 2016.

Huo ndio ulikuwa ujumbe wa makamu wa rais  wa Uturuk Fuat Oktay katika maadhimisho ya miaka miwili baada ya kufeli kwa jaribio la mapinduzi.

 

 Habari Zinazohusiana