Rais Erdoğan asema kuwa Uturuki imezidi kuimarika kidemokrasia kama ilivyokuwa hapo awali

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa Uturuki iğmezidi kuimariki  kidemokrasia kama ilivyokuwa hapo awali kabla ya Julia 15

Rais Erdoğan asema kuwa Uturuki imezidi kuimarika kidemokrasia  kama ilivyokuwa hapo awali

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa Uturuki imezidi kuwa taifa lenye nguvu na lenye kuimarika kidemokrasia kama ilivyokuwa hapo awali  kabla ya jaribio la mapinduzi Julai 15.

Kwa mujibu wa rais Erdoğan, usiku wa Julai 15 taifa la Uturuki  halikuzuia jaribio la mapinduzi pekee bali lilitoa funza na kuheshimisha demokrasia kote ulimwenguni.

Rais wa Uturuki ameyazungumza hayo katika makala maalumu katika  jarida la Hürriyet na Sabah. Uturuki inaadhimisha miaka miwili tangu kufeli kwa jaribio la mapinduzi  Julai  15 mwaka  2016.

Rais Erdoğan kwa mara nyingine amesema kuwa  usaliti  mkubwa katika historia umegeuzwa kuwa ushindi mkubwa na raia wazalendo wa Uturuki.

Julai 15  wahaini wa kundi la FETÖ na washirika wake wa PYD wamepewa jibu linalowastahili.

 Habari Zinazohusiana