Wahamiaji haramu 57 wakamatwa mkoani Izmir Uturuki

Wahamiaji haramu 57 wakamatwa na kikosi cha wanamaji katika fukwe za Çeşme mkoani Izmir nchini Uturuki

Wahamiaji haramu 57  wakamatwa mkoani Izmir Uturuki

 

Walinzi wa pwani katika enep la Magharibi mwa Uturuki wamefahamisha kuwakamata wahamiaji haramu 57 katika fukwe za Çeşme  mkoani İzmir. Walinzi wa pwani waliendesha operesheni baada ya kupata taarifa kuwa   kulikuwepo na watu waliotia mashaka katika eneo la Üçburnu karibu na eneo la Çeşme.

Wahamiaji hao walikuwa wakiaribu kusafiri kimagendo kuelekea nchini Ugiriki kama wafanyavyo wengi wao mkaoni İzmir.

Wahamiaji waliokamatwa na raia kutoka Syria, Irak, Palestina na Yemen.

 

 Habari Zinazohusiana