Uturuki yalaani vikali shambulizi la maafa nchini Nigeria

Uturuki imelaani shambulizi la kigaidi  lililotekelezwa Borno nchini Nigeria

Uturuki yalaani vikali shambulizi la maafa nchini Nigeria

Uturuki imelaani shambulizi la kigaidi  lililotekelezwa Borno nchini Nigeria.

Serikali ya Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje imelaani vikali hsambulizi la kigaidi lililotekelezwa katika siku kuu ya Idi Borno na kusababisha maafa.

Shambulizi la kigaidi lililenga watu waliokuwa wakisherehekea  siku kuu ya Idi Damboa.

Watu 20 wameuawa na wengine 48 walijeruhiwa katika shambulizi hilo.


Tagi: Uturuki , Borno

Habari Zinazohusiana