Uturuki yaadhimisha siku ya Afrika

Uturuki yaadhimisha siku ya Afrika kufuatia ushirikiano uliopo baina ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika

Uturuki yaadhimisha siku ya Afrika

Uturuki yaadhimisha siku ya Afrika kufuatia ushirikianao uliopo baina ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika kwa muda wa miaka kadhaa.

 ushirikiano baina ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika ni pamoja na historia , mtazamo mmoja na malengo sawa.

Hayo yamefahamshwa na wizara ya mambo ya nje ya Uturuki  katika maadhimisho ya  Siku ya Afrika ambayo huadhimishwa kila ifikapo Mei 25.

Wizara ya mambo ya nje  ya Uturuki imetoa ujumbe  unaopongeza ushirikiano uliopo baina ya Uturuki na mataifa ya bara la Afrika kupitia Umoja wa Afrika.  Uturuki inaunga mkono  utua zilizopigwa katika miradi ya maendeleo  barani Afrika .

Uturuki imefahamisha kuwa itaendelea na  ushirikiano na mataifa ya bara la Afrika.

 Habari Zinazohusiana