Wanajeshi 18 wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuua shujaa Halisdemir Uturuki

Wanajeshi 18 wamehukumiwa  adhabu ya kifungo cha maisha  gerezani baada  ya kukutwa na hatia ya kumuuwa kamanda Ömer Halisdemir Uturuki

Wanajeshi 18 wahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuua shujaa Halisdemir Uturuki

Wanajeshi  18 wamehukumiwa adhabu  ya  kifungo cha maisha  baada ya kukutwa na hatia  ya kummalizia  maisha afisa wa jeshi  Ömer Halisdemir katika jaribio la mapinduzi   Uturuki.

Wafuasi 18 wa kundi la FETÖ wamehukumiwa adhabu hiyo na mahakama ya mjini Ankara kwa kumuaa shujaa huyo aliekabiliana na wahaini hao  usiku wa Julai 15 mwaka 2016 katika jaribio la mapinduzi.

Watu 250 walifariki na wengine 2 200 walijeruhiwa katika jaribio la mapinduzi la Julai 15 mwaka 2016 Uturuki.Habari Zinazohusiana