Bendera ya Ugiriki iliokuwa imepandishwa Hursid imeshushwa

Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım afahamisha kuwa bendera ya Ugiriki iliokuwa imepandishwa  Dimim imeshushwa

Bendera ya Ugiriki iliokuwa imepandishwa  Hursid  imeshushwa

Waziri mkuu wa Uturuki amesema kuwa Uturuki inafahamu fika kuwa jirani yake Ugiriki hufanya vitando ambavyo malengo yake ni kuibua mgogo katika  bahari ya Egean.

 

 Habari Zinazohusiana