Wapishi kutoka Ulaya wajifunza mapishi ya kituruki mjini Gaziantep
Wapishi kutoka Ulaya wanajifunza mapishi ya kituruki katika mji wa Gaziantep nchini Uturuki.

Wapishi kutoka Ulaya wanajifunza mapishi ya kituruki katika mji wa Gaziantep nchini Uturuki.
Kwa mujibu wa habari,wapishi hao wametokea miji 30 tofauti barani Ulaya.
Wamekuwa wakifundihwa mapishi tofautikatika kitengo cha upishi cha chuo kikuu cha Gaziantep.