Uturuki na mapambano dhidi ya ugaidi nje ya mipaka yake

Uchambuzi wa Can ACUN , mtunzi na muandishi kutoka katika  shirika na masaula ya kisiasa, uchumi na jamii SETA

Uturuki na mapambano dhidi ya ugaidi nje ya mipaka yake

Eneo la Afrin lililokuwa likikaliwa na mgaidi wa kundi la YPG limelombolewa kutoka mikononi mwa magaid hao na jeshi la Uturuki katika operesheni yake ya Tawi la Mzaituni.

Wiki moja  baada ya kuanza kwa operesheni hiyo vitongoji kwama Jinderes , Rajo, Sheikh Hadidi na Sheran vilikombolewa pia kutoka mikononi mwa magaidi.  Jeshi la Uturuki lilianzisha operesheni hiyo kwa lengo la kuwaondoa magaidi katika mipaka yake. Magaidi katika mipaka ya Uturuki na Syria walikuwa wakijari kuweka ngome zao na kuendesha mashambulizi dhidi ya Uturuki.  Magaidi walikuwa wakijaribu kushambulai ardhi ya Uturuki kwa kurusha makombora . Jeshi la Uturuki lililtumia wajibu wake n akuhakisha kuwa magaidi hao hawatorudi kudhuru Uturuki kwa mashambuli hayo ya kigaidi.

Jeeshi la Uturuki liliwajibika vilivyo na kuhakikisha kuwa  magaidi hao  waliokuwa wakishambulia Uturuki kwa makombora kutoka Afrin  wanasitisha mashambulizi yoa.

Magaidi hao wa YPG/PKK  walikuwa wakilenga maeneo ya mpakani mwa Uturuki na Syria kama Reyhanli na Kilis na kusababisha  uharibifu.

Wanamgambo hao wa kundi la kigaidi la PKK/YPG walikuwa wakitaraji kujipenyeza katika ardhi ya Uturuki bila ya mafaanikio kw. Jeshi la Uturuki lilizuia wanamagmbo hao kujipenyeza katika eneo la Amanos kufuati operesheni kali ilioendesha katika eneo hilo la milimani.

Wnamagmbo wa  PKK/YPG  walikuwa wakisafirisha silaha zao kutoka Afri na kuzipeleka Hatay kupitia mlima wa Amanos.

Idaidi kubwa ya silaha zilizotolewa msaada  kutoka Marekani kwa wanamgambo wa YPG kilikamatwa katika eneo la mpakani.  Jukumu la Uturuki haikuwa tu kulinda usalama wake bali kuwaondoa magaidi katika mipaka yake na kuhakikisha kuwa  vyanzo vya ufadhili wa kundi la kigaidi vinazuiliwa.  Vile vile  jambo lililopewa pia kipau mbele n a eshi la Uturuki ni kuhakikisha kuwa kun di hilo liziwiliwa mbinu zake za kusajili wapiganaji. Operesheni ya Tawi la Mzaituni ilianzishwa pia ili kuzuia wanamgambo wa kundi hilo la kigaidi  kuweka ngome zake mpakani mwa Uturuki na Syria. Magaidi wangefaulu kuweka ngome zake mpakani mwa Uturuki na Syria basiUturuki ingekuwa haina usalama katika eneo hilo la mpakani.

Magaidi walikuwa wamezuia eneo hilo kama eneo ambalo lipo katika vikwazo.. Kabla ya opereshneni ya jeshi la Uturuki kwa ushirikiano na  jeshi huru la Syria, magaidi walikuwa wakichukuwa hatamu Afrin.  Wanamgambo wa kundi la PKK/YPG walikuwa wakiwatumia raia na wakaazi katika eneo hilo kama ngoa wakiwa na lengo la kujilinda na mashambulizi ya jeshi la Uturuki kutokana na uwepo wa raia. Magaidi walikuwa wakiwazuia raia kutoka katika eneo hilo.  Raia wakiwa katika misafara yake walikuwa wakizuiliwa na kurejeshwa Afrin.

Hali ilikuwa ikionesha kuwa ngumu kutokana na kwamba  magaidi walikuwa wamefaulu kuwazuia raia  kuondaoka. Licha ya kuwazuia jeshi la Uturuki lilifanya   kila lililowezekana ili kuhakisha   raia  hawaathiki na mashmbuli ja jeshi la Uturuki.

Jeshi la Uturuki na jeshi huru la Syria kwa ushirikinao lilihakikisha kuwa raia wanakuwa salama kila wakati wanapoendesha mashambulizi.

Ikiwa opeerehsni ya Tawi la Mzzaituni  inaendela,  Uturuki na jeshi lake inajiandaa kuendesha operehsni nyinginea mbayo pia lengo lake ni kuwaondoa magaidi  katika mipoaka ya Uturuki na kuhakikisha kuwa mipaka ya Uturuki ipo katika usalama na kuondolewa kwa vitisho vya ugaidi.

Uturuki inaendesha  mazungumzo kwa ushirikina na Marekani  kuhusu M anbich na eneo la Mashariki mwa Efratia na mazungumzo mengine na  uongozi wa Irak kuhusu makundi ya kigaidi  yanayoonekana kuyumbisha usalam a nchini Irak.

Baada ya kuchukua uongozi kataka eneo hilo Marekani ikishirikina na jeshi la FDS Syria ambalo ni jeshi lenye magaidi wa kundi la YPG, Marekani  ilitoa ahadi kuwa  iwapo Manbich magaidi wataondolewa  na vitisho vy wanagambo wa Daesh kuondoka basi  magaidi wa YPG wataondoaka  Mashariki mwa Efratia na uongozi katika eneo hilo utakuwa uongozi wa makundş ya kiatabu.

Uturukş ilikubaliana na Marekani kuhusu pendekezo hilo kutoka Maarekni baada ya kuondoleewa  kwa magaidi wa Daesh.  Viongozi wa ngazi za juu Marekani walifahamisha kuwa  wanamgambo wa kundi la YPG wataondoka baada ya kumalizika kwa operesheni ya Maznbic.  Uturuki kwa upande wake imefahamisha  kuwa matamshi ya Marekani kuhusu suala hilo  hayakutekelezwa kwa kuwa inaoneka kuwa kinyume na ilivyokuwa ikştarajiwa na hali halisi Manbich. Mashambulizi yaliotokea Afrin  ambapo wanamgambo wa YPG  walishambulia jeshi la Uturuki wakti likiendesha operesheni yake ya  Efratia ilionesha kuwa ni kinyume na makubaliano Uturuki inadhamiria kuwaondoa magaidi na kusafisha vitisho vya ugaidi katika mipka yake, operesheni ya Manbich ina lengo pia la kuhakikisha kuwa magaidi wa YPG  wameondoka pia baada ya opereshni ya Tawi la Mzaituni kumalizika na kuhakikisha usalama unarejea.

Mazungumzo kuhusu  utatuzi wa suala hilo  yalifanyika  kwa ushirikiano na Marekani  kwa kuunda tume  yalifanyika kwa ombi la Uturuki.  Mazungumzo yanatarajiwa  kufanyika kwa lengo la kupatia suluhu kunako mzozo uliopo bain aya Uturuki na Marekani.

Mazungumzo hayo yataanzishwa kwa lengo  a kuimarisha ushirikiano ambao kwas asa unaonekana kufifia kwa kiasi kadhaa.

Baada ya kuondolewa kwa magaidi wa YPG Manbich, kikosi vha ushirikiano  bain aya Uturuki na jeshi la Marekani kitaundwa  ili kuhakikisha usalama Manbich.  Moja kati ya makubaliano ni kuundwa kwa kikosi hicho.

Kutokana na hilo, wanajeshi wa Uturuki na wanajeshi wa Marekani  watashirikina katika kulinda usalama Manbich.  M akubaliano hayo ni baada ya kuanzishwa kwa operesheni ya Tawi la Mzaituni.

Kwa upande mwğngine  Marekani inaona kuwa kuna umuhimu mkubwa  kupatia ufumbuzi  suala la Manbich kwa ushirikiano na Uturuki. Ushirikinao huo ni kwmaba Uturuki inataraji kuondolewa kwa magaidi  na vitisho katika mipaka yake.

Uturuki imefahamisha kuwa itatumia mbinu zote kuhakikisha kuwa magaidi wameondolewa  Manbich.

Vile vile ushirikiano na uongozi wa Irak katika mapambano na ugaidi utakuwa na umuhimu mkubwa.  Operesheni hiyo ya kusafisha  Manbich na vitisho vya ugaidi inatarajiwa kuanza  baada ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa  nchini Irak.

Iwapo pia  opereshni ya Tawi la Mzaituni  itakuwa bado haijamalizika wanajeshi wa Uturuki wanao uwezo waw a kuendesha mashambulizi katika ameneo mawili tofauti kwa wakati mmoja.  Uwepo wa wanamgambo wa PKK nchini Irak wanapatikana Dahok, Zagros na Qandil. Kama ilivyokuwa nchini Syria,  wanamgambo wa PKK wanatumia furasa hiyo  kuapanua eneo wanalotaka kumiliki kwa kutumia uwepo wa Daesh.

Wanagambo wa PKK wanatumia  eneo la mlima wa Sinjar kwa kuendesha   harakati zake  Irak na Syria.

Uturuki inaendesha opereshni dhidi ya ugaidi ikiwa na lengo la kuwaondoa magaidiş katika mipaka yake na kuhakikişsha usalama na kuimarisha ulinzi pia.

Mashambulizi ya kigaidi  dhidi ya Uturuki yamepungua  baada ya kuanzishwa kwa operesheni  Syria kama Jerabluz, Dabiq na al Bab na kuwaondoa wanamgambo wa Daesh  na operesheni ya Efratia . Mashambulizi ya kşgaidi yatakomeshwa  hasa baada ya kusafisha moja kwa moja  magaidi katika maeneo tofauti kama Manbich na kuondolewa kwa wanamgambo wa YPG Irak na Syria katika operesheni ya Tawi la Mzaituni.Operesheni dhidi ya ugaid inayoendeshwa na jeshi la Uturuki sio tu kulinda mipaka yake bali pia  inaondoa vitisho  vya ugaidi kwa majirani zake na ulimwengu mzima.

 

 Habari Zinazohusiana