Hatuna funzo la kupewa na wale walioua watu zaidi ya milioni 5 nchini Rwanda

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa  hakuna funzo  Uturuki inaweza kupewa na wale ambao wameua watu zaidi ya milioni 5 nchini Rwanda

Hatuna funzo la kupewa na wale walioua watu zaidi ya milioni 5 nchini Rwanda

Rais Recep Tayyıp Erdoğan akizungumzia kuhusu operesheni dhidi ya ugaidi inayoendelea Afrin nchini Syria  amesema kuwa Uturuki haiitaji funzo kutoka  kwa wale ambao wameua watu zaidi ya milioni 5 nchini Rwanda.Habari Zinazohusiana