Rais wa Uturuk azungumza na mfalme wa Saudi Arabia kuhusu masuala tofauti ya kikanda

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan afanya mazungumzoa na mfalme wa Saudi Arabia kuhusu masuala tofauti ya kikanda

Rais wa Uturuk azungumza na mfalme wa Saudi Arabia kuhusu masuala tofauti ya kikanda

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan afanya mazungumzo kwa njiya simu na mfalme wa Saudi Arabia Salmna Ben Abdelazi al Suud kuhusu masuala tofauti ya kikanda.

Kwa mujibu wa  taarif zilizotolea na vyanzo vya habari kutoka ikulu ya rais mjini Ankara, mazungumzo baina ya viongozi hao wawili yaligubikwa na suala zima la mzozo wa Syria.

Rais Erdoğan amezungumza na mfalme wa Saudi Arabia kuhusu pia operesheni ya jeshi la Uturuki ilioanzishwa Afrin kwa lengo la kupambana na ugaidi na kuwaondoa magaidi katika mipaka ya Uturuki na Syria.

Rais Erdoğan amemfahamisha mfalme wa Saudi Arabia kuwa  magaidi  wamepelekea jamii za wakurdi, waarabu na waturkemn kuhama makaazi yao na kuahidi kuwa jeshi la Uturuki litawaondoa magaidi na  raia kurejea katika makaazi yao baada ya operesheni.

 

 Habari Zinazohusiana