Kiwango cha abiria wanaotumia shirika la ndege la Turkish Airlines chaongezeka

Kiwango cha abiria wanaotumia ndege za shirika la Uturuki la Turkşsh Airlines chaongezeka

Kiwango cha abiria wanaotumia shirika la ndege la Turkish Airlines chaongezeka

 

Kiwango cha wasafri wanaotumia ndege za shirika la ndege la Uturuki la Turkish Airlines chaongezeka kwa kiasi cha asilimia 9,3 mwaka 2017.

Kiwango cha wasafiri wa shirika hilo la Uturuki mwaka 2016 ilikuwa ni watu milioni 62,8 na sasa kiwango hicho kimefahamishwa kuongezeka na kuwa kiasi cha asilimia 9,3 mwaka 2017.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kitengo husika, ndege za shirika la Turkish Airl

ines katika kipindi cha  mwaka 2017 Januari hadi kufika Disemba mwaka 2017 watu milioini 68,6 wametumia ndege za shirika la Turkish Airlines.

Safari za ndani ni asilimia 10,4 huku safari za kimataifa ikiwa na asilimia 8,4.

 Habari Zinazohusiana