Ufunguzi wa kanisa la Chuma Istanbul n iujumbe kwa jumuiya ya kimataifa

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa ufunguzi wa kanisa la Chuma mjini Istanbuli ni ujumbe kwa jumuiya ya kimataifa

Ufunguzi wa kanisa la Chuma Istanbul n iujumbe kwa jumuiya ya kimataifa

 

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa  ufunguzi wa kanisa la Chuma ambalo ni kanisa la kale la wakristo wanaoamini kuwa ndio imani ya ndio imani thabiti iliofundishwa bila ya kupindishwa kuwa ni ujumbe tossha kwa jumuiaya ya kimataifa.

Rais Erdoğan amesema kuwa miskiti, vyumba vya kuogea, madaraja na miundombinu iliyotengenezwa katika kipinidi cha utawala wa Uthmania katika ardhi ya Burgaria ina umuhimu wa kukarabatiwa.

Rais Erdoğan ameshiriki katika hafla ilioandaliwa kwa ajili ya ufunguzi wa kanisa lililopewa jina la Kanisa la Chuma mjini Istanbuli,

Kanisa hilo la Mtakatifu Stefania  ni kanisa ambalo lilijengwa mwaka  1898.

Katika ufunguzi huo waziri mkuu wa Bulgaria Boïko Borissov na mawaziri wengine wa Uturuki kama waziri mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım walishiriki.

Uturuki katika kipindi cha miaka 15 iliopita imejitahidi kukarabati kumbukumbu za kihistoria katika maeneo tofauti kama Balkans, Mashariki ya Kati, Afrika Kaskazini, Asia ya Kusini na Ulaya.

Katika siku chache zilizopita makani 14 na hekalu moja vimekarabatiwa nchini Uturuki.Habari Zinazohusiana