Ushirikiano baina ya Uturuki na Nigeria

Ushirikiano baina ya Uturuki na Nigeria ni wa muda mrefu tangu mwaka 1960. Tangu miaka hiyo Uturuki na Nigeria

Ushirikiano baina ya Uturuki na Nigeria

 

Ushirikiano bain aya Uturuki na Nigeria ni wa muda mrefu tangu mwaka 1960. Tangu miaka hiyo Uturuki na Nigeria.

Uturuki na Nigeria  ni mataifa ambayo kwa kwa muda mrefu ymaeshikiana katika sekta tofauti  kama katika sekta y aya uchumi, biashara, elimu na ulinzi na sekta nyingine tofauti.

Mataifa haya pia ymeasiani mikataba katika ushirikiano katika nyanja tofauti.

Katika sekta ya elimu , mikataba iliosainiwa  bain aya mataifa hayo mawili  inapelekea  wanafunzi kutoka nchini Nigeria kupewa mafunzo nchini Uturuki. Wanafunzi kutoka Nigeria kama wanafunzi wengine kutoka katika mataifa tofauti hudhaminiwa na shirika la YTB katika muda wao wote wa masomo nchini Uturuki. Vile vile kitengo kinachohusika na masuala ya kidini hudhamini wanafunzi katika masomo yao. Vile vile wawekezaji huendesha kazi zao katika maeneo ya kibiashara kwa manufaa ya mataifa mawili, Nigeria na Uturuki.

Mach  26  mwaka 2016 rais wa Uturuki Recep  Tayyıp Erdoğan alipokelewa kwa heshima katika ziara yake nchini Nigeria.Katika ziara yake hiyo nchini humo rais Erdoğan alisaini mikataba tofauti

Katika ziara yake hiyo nchini humo rais Erdoğan alisaini mikataba tofauti ya ushirikiano. Nigeria inatambua kuwa Uturuki ilijitolea kutetea bara la Afrika katika jumuiya ya kimataifa. Uturuki pia inaridhishwa na hatua ya Nigeria kushirikiana na Uturuki katika sekta ya biashara.

Uturuki inafahamisha kuwa inataraji kuino Nigeria kuwa miongoni mwa mataifa makubwa ambayo uchumi umeimarika  ifikapo mwaka 2020. Nigeria inatarajiwa kuwa miongoni mwa mataifa makubwa kuchumi 20 ulimwenguni. Uturuki ilitaraji kuendeleza ushirikiano wake na Nigeria kama alivyofahamisha rais Erdoğan kuwa manufaa na faida ni kwa mataifa yote mawili.

Uturuki katika kuimarishga ushirikiano wake na bara la Afrika  ilifungua vituo viwili vya redio miongoni mwa lugha mbili kubwa zinazozungumzwa na idadi kubwa ya watu barani Afrika. Kituo cha habari cha TRT kina tanga habari kwa lugha zaidi ya 40 tangu mwaka 2014.

Lugha ya Hausa ambayo nilugha inayozumgumzwa na watu zaidi ya milioni 9 Afrika Magharibi ikiwemo Nigeria. Lugha ya kiswahili pia imefungua kitengo chake katika ofisi za sauti ya Uturuki na kupeperusha habari ikilenga Afrika Mashariki.  Kupitia vituo hivyo raia katika maeneo hayo hupata habari kwa uharaka kutoka nchini Uturuki kwa nyanja ya kimataifa.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amewasili nchini Uturuki Oktoba 19 na kushiriki kwa muda wa siku mbili katika mkutano wa D-8 Oktaba 19 na Oktoba 20.  Katika ziara yaake nchini Uturuki rais Buhari amekutana na rais Erdoğan mjini Ankara.  Ushirikiano bain aya Uturuki na Nigeria utajadiliwa katika mkutano na mazungumzo yao.  Rais Buhari atatembelea  bunge la Uturuki .

Mazungumzo bain aya viongozi hao yatagusia masuala mengi ikiwemo shule za kundi la kigaidi la FETÖ zinazopatikana nchini Nigeria. Vile vile  mapambano dhidi ya kundi la boko haramu na mkundi ya kigaidi ya kimataifa.Habari Zinazohusiana