Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Leo katika magazeti ya Uturuki

Star: "Uturuki  taifa lenye nguvu  "

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asema kuwa Uturukini taifa lenye nguvu na ulimwengu wa Magharibu unatakiwa kutambua hilo. Ujumbe huo wa rais wa Uturuki  umetolewa  kufuatia mzozo wa viza kwa raia wa Uturuki na Marekani kutoruhusiwa kutembeleana. Uturuki yenye nguvu sio jambo lililoandaliwa bali malengo yaliokuwa yakitarajiwa kwa muda mrefu. Mzozo wa viza bain aya Uturuki na Marekani ni moja wa ishara ambayo inaonesha kuwa Uturuki inayo haki ya kuonesha msimamo wake. Rais Erdoğan amesema kuwa Uturuki kwas asa haitaji mtu yeyote.

Haber Türk: "Silaha za Uturuki ni bora kuliko za Marekani "

Rais wa Erdoğan amesema kuwa jeshi la Polisi halittumia siilaha za Sig Sauer na kusema kuwa Uturuki kwa sasa inatengeza silaha zake ambazo zina uwezo wa kushambulia katika umbali unaostahiki. Rais Erdoğan amesema kuwa Uturuki itaendelea mradi wake hu ona kuondoa silaha za kigeni na kuimarisha uzalishaji wake. Sialaha aina ya (MPT-76) ni moja ya sialaha zinazotumiwa.

Sabah: "balozi wa Marekani na maujiri mwenye ushirikiano na FETÖ "

Balozi wa Marekani nchini Uturuki John Bass katika mkutano na waandishi wa habari ulioafnayika mjini Istanbul amesema kuwa hakuna ushahidi kuwa kuna ushirikiano na kundi la kigaidi la FETÖ. Uturuki na Marekani zimejikuta katika mzozo ambao umesababishwa na tuhuma ambazo  zimesema kuwa mfuasi wa kundi hilo vipi anaweza kuwa mfanyakazi katika ubalozi.  Ushahidi uliotolewa kuhusu tuhuma hizo ni ushahidi wa sauti wakati wa maongezi kwa njia ya simu.

Yeni Şafak: "Hatua za Uturuki kuhusu eneo salama Idlib "

Jeshi la Uturuki lazidi kuimarisha vikosi vyake katika eneo la mpakani mwake na Syria na kuhakisha kuwa usitishwaji kwa muda wa mapigani unaheshiwa Idlib nchini Syria. Jeshi la Uturuki linashiriki paia katika juhudi za kuhakikisha kuwa ghasia na mapigano yamepunguzwa. Jeshi la Uturuki lilianza kutuma  vikosi vyake tangu Oktoba 8 kuhakikisha kuwa maeneo salama  Kaskazini mwa Syria  na usitishwaji wa mapigano utaheshimishwa. Jeshi la Uturuki linfungua vituo vya uchunguzi Idlib huku jeshi la Urusi likiwa nje ya eneo hilo.

Vatan: "Uswidi yaunga mkono Uturuki kujiunga na Umoja wa Ulaya "

Serikali ya Uswidi imefahamisha kuwa kwa ushirikiano na Macedonia mataifa  hayo yataendelea kuunga mkono Uturuki katika mchakato wake wa kutaka kujiunga na Umoja wa Ulaya. Katika tangazo lilitolewa  katika ukurasa wa serikali, tangazo hilo lilifahamisha kuwa Ulaya Mashariki , mataifa ya Balkan kwa ushirikiano wao na Uturuki katika nyanja tofauti na za kimkakati yanaunga mkono juhudi za Uturuki kutaka kujiunga na Umoja wa Ulaya.Habari Zinazohusiana