Uchumi na siasa

Mfumo wa kuimarisha hali ya uwekezaji

Uchumi na siasa

Uturuki kutoka na uwezo ilionoa  katika ukanda unatoa fursa  muhimu kwa wote wale ambao wanataraji kuwekeza.

Ni jambo muhimu kubadilisha katika hali nzuri na ya kuridhisha mfumo wa uwekezaji  na fursa  ili  kuzuia uwekezaji kutoka nje katika uweekzaji.

 Mabadiliko hayo katika uwekezaji yamezdii kuvutia kwa kiasi kikubwa wawekezaji kutoka nje. Wawekezaji kutoka nje  nchini Uturuki  watakuwa wamefikia  atua muhimu katika matabaka mawili  katika uwekezaji.

Mtaarishaji wa mada yetu katika kipindi chetu si mwinine ni  daktari Erdal Tanas KARAGÖL kutoka kaika chuo kikuu cha YildirimBeyazit kitengo cha  siasa  na uchumi.

Ni tofauti na atua  za maendeleo za taifa ambazo zinazidi kuvutia wawekezaji moja kwa moja kutoka nje.

Uchumi katika mataifa ambayo yameendelea  unaweza kuwa umepewa kipaumbele  ila  katika mataifa ambayo yanajarribu kuenedelea pia mataifa hayo yanavutia.  Mataifa hayo yanavutia pia kwa wawekezaji moja kwa moja kutoka mataifa tofauti.

Katika kipindi cha miaka 15 iliopita  mataifa yalioendelea  kuwa katika  uwekezaji  katika kipindi hicho. Mabadiliko makubwa u-yameonesha kutoa mafaanikio.

Uturuki imevutia  kiasi cha dola bilioni 15.1 katika uwekezaji kutoka katika  kiwango  hicho  katika kipindi cha  miaka  bain aya mwaka 1950 hadi mwaka 2001. Mabadiliko ya zaidi ya mara 12 kai ya mwaka 2002 na  mwaka 2017.

Katika kipindi hicho kiwango cha dola bilioni 191,1 kilifikiwa.

Atua kama hiyo ilipewa kipaumbele na mabadiliko  katika kipindi cha miaka 15 iliopita. Kiwango cha kuanzia kwa wageni  kiliongoza.

Hali ya uwekezaji Uturuki  inaitaji kuweka wazi mahitaji yake muhimu na kufungua  uwezo wa uwekezaji kwa namna ambayo iliothabiti.

Kitu muhimu katika sekta ya uwekezaji ambacho huwavutia wawekezaji kutoka nje ya nchi ni kuweka vivutio katika uwekezaji na fursa ambazo  zinaonesha kuwa  kuna faida kubwa katika kuwekeza katika nchi hiyo.

Mataifa ambayo yanaonesha fursa kwa wawekezaji  moja kwa moja  hupelekea  wawekezaji kuchukua atua kwa kuona kuwa wamepewa kipaumbele.

Fuko la mabadiliko la benki ya dunia katika uchumi limesimamiwa na utendaji  katika biashara.

Fuko hilo husimamia uchumi  wa kimataifa  katika uwekezaji. Malengo  katika kipindi cha miaka 60 na 20 na kuchukuwa nafasi ya kwanza.

Kuingia katika 20 za mwanzo zinazoongoza faharisi  jambo ambalo linaonesha mabadiliko katika uwekezaji.

Kuweka mazingira yanayowavutia wawekezaji  huinua uchumi na kulfanya taifa kuwa katika ushindani katika uwekezaji kimataifa.

Wataalamu wa Benki ya Dunia wameshirikishwa na harakati za  fuko na tume ya usimamizi kwa lengo la kuinua uwekezaji chini ya uongozi wa Recep Akdağ.

Kwa upande mwingine wawakilishi wa wawekezaji wa Uturuki na taasisi za umma wana mchango  mkubwa unaotambulika katika mabadiliko na marekebesho yaliofanyika  baada ya  miezi mitano ya kazi.

Mabadiliko na mbinu za kuinua uchumi  Uturuki zinaonesha  kuwa kuna umuhimu mkubwa  kuhus suala la kuondoa vikwazo  katika uwekezaji na utua muhimu zitakazopelekea matokeo muhimu na yenye faida.

Kuna nini katika  mfuko huo wa mabadiliko na marekebesho ?  kwanza kabisa katika atua ya kwanza, uongozi kuhusu hati ya biashara au ruhusa ya biashara  inakuwa katika uakala mmoja na kuanzishwa kwa  shirika  kwa hali ya kwaida.

Kawaidi, wakati ambapo shirika na uongozi wake una  ubadilishaji namna saba na kufikia  ataua ya kupunguza idadi ya ubadilishaji katika kipindi kijacho.

Kwa upande mwingine  kumewekwa  mipangilio ya utendaji ambayo ipo nyuma kwa kiasi na  mfumo wa kimataifa.

Hasara  kwa kiasi kikubwa  itacheleweshwa kwa miaka minane au 7 na atua  itachukuliwa katika kipindi cha miezi 23.

Mabadiliko mengine yanahusu hati ya kujenga.  Hati 12 hadi 18 zilikuwa milki ya uongozi wa kata.

Uamuzi uliochukuliwa ulipelekea kupunguzwa hadi 5 kutoka 12.Habari Zinazohusiana