Siasa na Uchumi

Hali ya uchumi nchini Uturuki mwaka 2017

Siasa na Uchumi

 

Hali ya uchumi nchini Uturuki mwaka 2017 ulikuwa katika hali gani ?

Kwa kweli njambo ambalo linaonekana wazi ni kwamba uchumi wa Uturuki katika kiwango cha kimataifa umezidi kuimarika kwa kiasi kikubwa.

Mwaka uliopita nchini Uturuki uchumi wake umeonakana katika kiwango cha mstari wa mbele.

Yali yaliojiri katika mabadiliko na uakuaji wa uchumi nchini Uturuki yanaumuhimu kuwekwa wazi ili kuona ni kiasi gani uchumi wa Uturuki unazidi kutoa matumaini na kushamiri.

Kwanza kabisa uchumi wa Uturuki uliyumbishwa na mtikisiko wake ulisikika baada ya jaribio la mapinduzi kwa mwaka 2016.

Licha ya tukio hilo la kukemewa  mwaka 2017 mabadiliko yako yake ambayo yalionesha kuimarika  yalikuwa ya hali ya juu. Data ambazo zilitolewa na ukuwaji wa uchumi zilionesha kuwa soko la ajira  pia lilifanya mabadiliko.

Katika kipindi ambacho kilikuwa na muda wa robo tatu ya mwanzo ya mwaka 2017 uchumi ulikuwa kwa kiasi cha asilimia 11,1 , kiwango ambacho kilikuwa kiwango kikubwa katika G-20 na shirika la kimataifa la biashara.

Katika kipindi cha miezi 9 ya mwanzo ilikuwa ni 7,4, kiwango ambacho kilionekana  kuzuia nakuchukuwa kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ya mwaka.

Katika  mpango wa muda mfupi mwaka 2018 na 2018 kunakadiriwa kwa alama 5,5 na ongezeko lake la mwaka 2017 (OVP).

Asilimia 6,5 kuongezeka kwa kiwango hicho kwa 5,5.

Ikiwa tatuanagazia  ukuwaji wa uchumi katika soko la ajira kkwa mmoja au mwingie , tunaona kuwa  kuwa mabadiliko yalionekana mwaka 2017.

Kwamujibu wa data na viashirio vilivyotolewa  katika kipindi cha Septemba mwaka 2017, milioni 1,233 nafasi z ajira ziliweza kutolewa  kote nchini Uturuki. Kiwango cha ukosefu ajairi kinazidi kupungua kwas asa imefikia asilimia 11,1.

Kitu amabcho kimetoa fursa na vijana kuwa na bidii ni ahadi zizlizotolewa mwanzoni mwa mwaka 2017.

Licha yakuwa kiwango cha ajira katika mwaka uliopita kuongezeka, ukosefu wa ajira bado ni tatizo ambalo linaitaji kutafutia jawabu na ufumbuzi.

Iwapo kutapatiwa ufumbuzi basi waajiriwa wapya watachangia katika kuimarisha uchumi. Moja ya sababu kwa vijana na waajiriwa wapya kushiriki katika ukuaji wa uchumi uweza wao kuongezeka katika soko.

Mwaka 2017 ulikuwa ni mwaka ambao  ukuaji wa uchumi ulionesha mabadiliko. Mwishoni mwa mwaka 2016 kiwango cha bilioni 142 kilifikiwa mwaka 2017 na OVP  ambapo kiwango cha dola bilioni 158 katika soko na uuzaji wa kidhaa tofauti kwenda nje ya nchini.

 Mwaka huo kumeonekana ukuaji wa uchumi ambao ulizidi kupanda na kufikia kileleni. Kiwango cha mabadiliko hayo kiliongezeka kwa asilimia 12,9 Novemba .Tunaweza kusema kuwa  jambo ambalo limepelekea  kiwango kuongezeka sio tu nguvu ya uzalishaji kutoka ndani. 

Tukitazama  bajeti ya mwaka 2017 inapo linganishwa na  kiwango cha kipato cha ndani imeongezeka  licha ya kuwa chini ya 3 na masharti ya   Maastricht kwa asilimia 60 ya 28,5.

 


Tagi: Uturuki , uchumi

Habari Zinazohusiana