Uzalishaji wa mafuta ya zaituni wavunja rikodi

Uzalishaji wa mafuta ya zaituni wavunja rikodi

Uzalishaji wa mafuta ya zaituni wavunja rikodi

Kiongozi wa baraza la wakulima la Edermit Cahit Çetin ameafahamisha kuwa  Uturuki imevuna kiasi kikubwa cha zaituni ambacho kilikuwa bado hakijapatika katika historia.

Uturuki inachukuwa nafasi ya pili ulimwenguni kwa uzalishaji wa zao la zaituni.

Uturuki  imevuna kiwango cha tani 300 000 cha zaituni mwaka 2017.

Kiwango hicho kinatarajiwa kuongezeka katika miaka ijayo.Habari Zinazohusiana