Iran yashika nafasi ya kwanza kwa kuuzia mafuta Uturuki

Iran imeshika nafasi ya kwanza mwaka 2017 kuuzia mafuta Uturuki

Iran yashika nafasi ya kwanza kwa kuuzia mafuta Uturuki

Iran imeshika nafasi ya kwanza mwaka 2017 kuuzia mafuta Uturuki

Iran imechukuwa nafasi ya kwanza kwa kuuzia mafuta Uturuki miezi sita ya mwanzo ya mwaka 2017.

Kwa mujibu wa  kitengo kinachohusika na soko la nishati nchini Uturuki ni kuwa Iran imechukuwa nafasi ya kwanza kuuzia mafuta Uturuki na kufuati na Iraq, Urusi, Saudia Arabia na Kuweit.

Kitengo hicho kimefahamisha kuwa takwimu zilizotolewa  baada ya utafiti uliofanywa Januari hadi Julai Iran imeshika nafasi ya kwanza.

Mwaka 2016 Iraq ilikuwa ikishikilia nafasi hiyo.

Tagi: mafuta , Iran , Uturuki

Habari Zinazohusiana