Mradi wa wanajeshi "roboti" Uturuki

Mradi wa wanajeshi "roboti" Uturuki , Kwa lengo la kupunguza maafa na hasara katika vikosi vya kupambana na ugaidi

Mradi wa wanajeshi "roboti" Uturuki

Kwa lengo la kupunguza maafa na hasara katika vikosi vya kupambana na ugaidi , jeshi la  Uturuki limeanza mradi kabambe wa kutengeneza roboti ambazo zitachukuwa nafasi ya binadamu katika operesheni  zitakazoendeshwa dhidi ya ugaidi. 

Hayo ni matunda ya teknolojia baada ya ushirikiano baina ya ujenzi wa sialaha na na vyuo vikuu vya teknolojia. 

Kitengo kinachohusika  utafiti katika sekta ya teknolojia kimefahamisha kuwa mradi huo ni moja ya hatau kubwa zitakazokuwa zimepigwa na jeshi la Uturuki katika mapambano dhidi ya ugaidi na uhalifu.Habari Zinazohusiana