Mchango wa Pitbull UM katika kutatua tatizo la ukosefu wa maji safi ulimwenguni

Umoja wa Mataifa kumteua nyota wa muziki wa Pop Pitbull kuwa balozi wa maji ulimwenguni

Mchango wa Pitbull UM katika kutatua tatizo la ukosefu wa maji safi ulimwenguni

 

Pitbull, nyota wa kimataifa wa muziki wa miondoko ya Pop anataraji kuteuliwa na shirika la maji la Umoja wa Mataifa kuwa balozi wa maji safi ulimwenguni. Pitbull atateuliwa rasmi kuwa balozi wa maji safi ulimwenguni Machin22 mjini New York.

Pitbull atajielekeza katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa  kuzungumzia suala zima la matatizo ya maji safi ulimwenguni katila kisu ya kimataifa ya maji. Pitbull ambae ni mshindi wa tuzo ya Grammy anataraji pia kupokea tuzo ya kimataifa ya kinara wa maji kwa juhudi zake katika masuala ya kibinadamu ulimwenguni.

Pitbull kuteuliwa kuwa balozi wa maji safi ulimwenguni.

Pitbull kupitia umaarufu wake wa kimataifa, anaongoza kampeni kupitia mitandao ya kijamii inayolenga kuhamasisha  uelewa wa tatizo la maji ulimwenguni.

 Habari Zinazohusiana