Mtazamo

Mtazamo wa Jiji la İstanbul

Mtazamo

 

Uandishi ni jambo ambalo limewakutanisha waandhi na wasomaji. Uanidhi na usomji ni jambo ambalo linaitaji  heshima, kujitolea na mapenzi ya dhati wakati wa kazi na uaminifu.

Uanidhi unaitaji kujitalea na bidii ili katika hali ya juu, kujiamini katika kile ambacho unaitaji kufikisha kwa wasomaji, Wakati wa kuandika utaitaji pesa na kuwekeza kwa kiasi fulani.

Uandishi sio tu  ujumbe ulio wa kipekee bali  ushirikiano bain aya muandishi na msamaji. Vile vile ni kutaka kuona ni atua gani msomai atachukua baada ya kusoma.

Uandishi hujitokeza baada ya kuona mengi kwa muda mrefu matukio tofauti katika maisha.

Wakati ambapo unaanza kuadika , huwezi kujua wapi msomaji wa kila utakacho andika wapi atatokea.

Kila unacho andika ni kama kio cha kinachomulika uwepo wako.

Kitengo cha sayansi  ya siasa katika chuo kikuu cha Yıldırım Beyazit .

 Kwa pamoja tutashirikiana katika kipindi chetu ambacho tutazungumzia mad ana masuala tofauti.

Tutazungumzia eneo la Balkans, Mashariki ya Kati, Kokazian, Afrika na maeneo mengine yanayokuwa na matukio tofauti.

Tutakuwa tukizungumzia  Palestina, Krimea, Moro , Rakhine kwa kuwa pia ni maeneo ambayo  kijeografia wakaazi wake wanadhulumiwa. Vile vile tunaweza kuwa watete wa familia ambazo  Magharibi zilizozua gumzo.

Katika mada hatukuwa na ubaguzi wala utofauti wa hali yeyote kama vile dini, rangi bali tutakuwa tukiweka kipaumbele katika ubinadamu kwa kuwa ndio jambo muhimu. Kinyume na Magharibi hali hiyo inaonekana kuongezeka.

Ila tutaangazia kwa kina mfumo wa Uturuki na hali hiyo iliokinyume kabisa na Magharibi.

Inaweza kutokea kuwa tukazungumzia kwa muda mrefu kuhusu matukio tofauti kuhusu Uturuki ila haitokuwa na maana kuwa hatutozungumzia yanayojiri ulimwenguni.

Kutoka na matukia ambayo yatakuwa yamechukuwa nafasi kubwa katika ajenda ya Uturuki masula ya kimataifa  tutajizuia kwa kiasi fulani.

Hutokoma kuzungumzia ubinadamu katika ukanda wetu. Eneo hili ni urithi wetu  na matumaini yetu ambayo  tunatakiwa kuwa macho na kuona kila kinachoendelea  ulimwenguni na Uturuki.

Tunapo utazama ulimwengu  kwa sasa  tunaona ya kuwa kuna matatizo  makubwa matatu ambayo ni  hali unyanyasaji na kutokukubali kuishi na kusoma utamaduni mpya. Matatizo yote yanayojitokeza ulimwenguni yanakusanywa katika matatizo hayo.  Je kuna  ujuzi ambao utakupeleka katika ufumbuzi wa matatizo hayo yanayojitokeza?

Iwapo binadamu wangekuwa hawajali utofauti wa lugha, dini, rangi kama ilivyoitajika na kuonekana  kwa samaki kuwa kiumbe mzuri wa ajabu ambae anajitahidi kutenda haki.

Katika suala la haki  njia tunatakiwa kufuata  sio ya utamaduni wa Magharibi  ambao umejiwekea kikomo.  Utamaduni wetu wa kistaarabu unatosha kuwa  kimbilia na kutatua matatizo.

Katika suala zima  ambalo linhusu sheria  , mfumo ambao tunaweza kufuata ni mfumo mzima ambao ni urithi wa kipinidi cha utawala na utamaduni  wa Uturuki.

Mfumo wa Maharibi umeonekana kuwa unam mapungufu kwa kiasi fulani ukilinganishwa na utamaduni. Katika eneo la Balban na maeneo ambayo yapo pembezoni ni wazi kuwa mfumo wake ndio mfumo ulio sahihi katika kutatua matatizo ambayo hujitokeza.

Mtazamo huo  ni wa muda mrefu ambao umeonekana kuwa na umri wa zaidi ya miaka mia moja. Mji wa Istanbul ni mji ambao ulikuwa na umuhimu mkubwa ktaika nyanja tofauti ulimwenguni katika historia ya binadamu na utaamaduni.

Mifumo tofauti ikiwa ni pamoja na fikra, ueleo na mambo mengine chungu nzima katika jamii ikiwemo pia mifumo tofauti  katika maisha ya kawaidi ya jamii tofauti katilka vijiji.

Istanbul ilitoa muangaza kwa jamii tofauti kuweza kushi pamoja licha ya utafauti uliokuwepo.

Istanbuli ilikuwa ni mji amboa wasomi na wanafalsafa wenye utamaduni tofauti walikuwa wakikutana na kujadili masuala tofauti ambayo pia walikuwa wakafikiana baada ya mazungumzo.

Katika historia mji wa Istanbul umeonesha mabadiliko na utu kwa kiasi kikubwa kwa ubinadamu.

Istanbuli ulikuwa ni mji ambao Utawala wake uliweza kuweka pamoja jamii tofauti ambazo zilikuwa na utamaduni tofauti. Jamii ambazo zilikuwepo ni pamoja na  jamii ya waturuki, waarabu, wakurdi, jamii kutoka Albania ambao wanakusanywa katika jamii kutoka Balkan na waboznia.

Vile vile walikuepo wale ambao sio waislamu ambao waliishi vema na ushirikiano na imani tofauti zilzikuwepo kama vile  imani ya kikristu, na kiyahudi.

Kutokana na sababu hizo  ni wazi kuwa mji wa Istanbul unaouwezo wa kutatua matatizo yanayojitokea  katika wakati tulionao  kwas asa. Mji huo ulikuwa na ukubwa usikuwa na mfano.

Katika karne ya 20, wakati ambapo kulionekana kuwa  kuna mabadiliko katika tamaduni, wasomi wa Uturuki waliwavutia kwa kiasi kadhaa utamaduni wa Magharibi.  Maghairibi pia iliweza kuwatuma wasomi wake  ili kujipatia elimu katika maeneo tofauti kama vile Misri, Iran au mpaka Pakistan wasomi wa Magharibi walifika hadi huko.

Bila shaka tunatakiwa kutambua ya kwamba maslahi yaliokuwepo Mashariki yalifuatwa tangu eniz ni wajibu kukubaliana na hilo.  Wasomi wamekubaliana baada ya utafiti na kusema kuwa wasomi katika ulimwengu wa kituruki walipelekea jami tofauti kuweza kushi pamoja bila ya tafu na kuonesha kuwa Istanbuli ulikuwa ni mji ambao ulikuwa ukitoa fursa bila ya kutofautisha tamaduni na kufanya majadiliano kuzidi kuwa ya kipekee katika suala moja wapo.

Tatizo la kuishi pamoja kutokana na tamduni tofauti ni jambo amblo kwas asa lisingekuwa na nafasi ila k-jambo la kuskitisha ni kwamba baadhi ya mii mikubwa kunajitokeza matatizo ambayo yanasabishwa na utofauti wa kitamaduni. Kuna baadhi ya tamaduni ambazo zinashindwa kabisa kuelewa tamaduni nyingine na kuzua baadhi ya migogoro na  vitendo visivyoridhisha.

Tukizingati hilo ni wajibu kwetu kufuata mkondo wa jiji la Istanbul katika kutatua tofauti na matatizo yanatyojitokeza.

Kipindi chetu mmetaarishiwa kutoka chuo kikuu cha Yıldırım Beyazid katika kitivo cha Siasa na Profesa Dr. Kudret BÜLBÜL.  

 

 Habari Zinazohusiana