Hikaya za Anatolia

Hikaya za Anatolia,mfalme Gordios

Hikaya za Anatolia

Miaka 1000 iliyopita kulikuwa na kabila Frigia iliyoitawala Anatolia katika miaka hiyo.Kabila hilo lilikuwa na himaya kubwa sana.Kipindi cha utawala wa serikali mji mkuu ulielekezwa kuwa Ankara.Wakati huo mtawala wa himaya hiyo alikufa na kuacha nafasi yake kuwa tupu bila mtu.Basi wakazi na viongozi w azama hizo walaimua wajikusanye na kutoa uamuzi kuwa atakaekuwa wa kwanza kuingia mjini humo kwa gari ndie atachaguliwa kuwa mfamle mpya.Gordios alikuwa katika safari zake za baishara za kila sik una kwa bahati nzur akaamua kuingia na gari lake katika mji huo pia.

Alikuta ummati wa watu umejikusanya na hakujua ni kwanini.Yeye alikuwa na nia ya kufanya biashara lakini alishtukia kila mtu anapiga makofina vigelegele kwa furaha kuwa wamepata mfalme mpya.Bila ya kuulizwa wala kucheleweshwa aliteuliwa kama mfalme mpya wa Himaya hio.Kwa kuwa Gordios alikuwa na uzoefu wa baishara,japokuwa alikaa mjini humo kwa muda mupi alitumai ujuzi wake kuiendeleza himaya hio.Biashra ilikuzwa ndani ya muda mfupi.Biashara ya nguo na teknolojia pia vilikuwa kwa kasi na mji ukawa tajiri sana.Siku moja mfalme huyo alienda mbele ya hekalu na kurusha mshale matata kabisa uliowafunda ngome waliokuwa mbele yake.

Walitafuta wataalamu kote duniani kuja na kulifungua fundo hilo lakinihawakuweza.Hikaya inaendelea na kusema kuwa mfalme huyo alikufa na kumuacha mfalme Midas kama mrithi wa kiti chake.Kuna baadhi ya hadithi zinasema kuwa mfalme huyo  alitawala sehemu hiyo kwa muda mrefu kabla ya kupinduliwa na Waajemi.Waajemi waliipindua sehemu hiyo na kuiweka chini ya utawala wao.Hata baada ya Waajemi kuitawala Anatolia kwa muda mrefu walishindwa kufungua fundo lililofundwa na mfalme Gordian.Waajemi walipigana na Ugiriki kwa muda mrefu lakini hawakuweza kushinda vita hiyo.Baada ya miaka 300 aliekuja kuiongoza Anatolia aliamua kuziunganisha himaya hizo.Sehemu kama natalya zinajulikana kuwa zilikuwa chini ya mfalme Gordio.Hata kipindi cha uatawala wa Alexander fundo ya mfalme Gordio haikufunduliwa.Watu mablimbali walijaribu lakini haikuwezekana.

Kuna askari mmoja tu aliweza kufungua fundo la mfalme huy ona mwanajeshi huyo hakuwa wa kawaida kwani aliwashinda maadui katika vita tofauti tofauti kama za Iran,Syria,Iraq na Misri.Nchi pia kama Afghanistan,Indiana Pakistan.Aliweza kuiongoza dunia wakati akiwa na umri mdogo kabisa.Mpaka wa leo mambo magumu yakiwatokea watu basi hufikiria hikaya ya fundo iliyofundwa na mfalme Gordion na utamaduni huo unazidi kudumu.

Tukutane tena Juma lijalo kwa hikaya motomoto za Anatolia.Habari Zinazohusiana