Mambo 6 yakufahamu kuhusu mwezi wa Ramadhani

Mambo 6 ya kufahamu kuhusu mwezi mtukufu wa Ramadhani katika ulimwengu wa kiislamu

Mambo 6 yakufahamu kuhusu mwezi wa Ramadhani

 

Ramadhani ni mwezi mtukufu katika ulimwengu wa kiislamu ambao umeanza Jumamosi na utachukuwa muda wa siku 30 au 29.

1. Ramadhan ni mwezi wa 9 katika kalenda ya kiislamu.

Kalenda ya kiislamu ni kalenda ambayo inahesabiwa kufuatia kuandama kwa mwezi ni kalenda ambao huhesabiwa kwa miezi 12 kama ilivyo kalenda ya Greogian. Ramadhan ni mwezş mtukufu katika kalenda ya kiislamu.

2. Ramadhani ni mwezi kama ilivyo miezi mingine katika kalenda ya kiislamu inayohesabika kwa kufuata mwezi.

3. Ramadhan ni mwezi wa ibada ya mafungo ikiwa na maana ya kujizuia kula na kunyenyekea zaidi kwa muumba.

Idaba ya funga ni ibada kwa watu wenye afya ambao wanatakiwa kushinda bila ya kula. Watu wasioruhusiwa kula mchana katika mwezi wa Ramadhani ni watoto, wanawake wajawazito, wagonjwa na wanawake ambao wamo katika katika mzunguko wa hedhi.

4. Aya za kwanza za Quran zilishushwa kwa Mtume Muhammad katika mwezi wa Ramadhani.

Aya za kwanza za Quran zilishushwa katika siku 10 za mwisho katika mwezi wa Ramadhani.

5. Ramadhani ni mwezi  paia wa kuzidisha ibada, utu na matendo ya upendo kwa kila kiumbe.

6. Ramadhani ni mwezi ambao huonesha utofauti mkubwa katika tamaduni kwa namna ambayo waislamu hubadilika katika jamii. Mabadiliko katika tabia, mapishi, kazi za kila siku.Habari Zinazohusiana