Brazil na Uswisi zatoka sare kwa bao moja kwa moja

Timu ya Brazil yatoka sare na timu ya Uswisi katika mechi za kugombea kombe la dunia Urusi

Brazil na Uswisi zatoka sare kwa bao moja kwa moja

Brezil  ikiwa miongoni mwa timu ambazo zinatabiriwa kuchukuwa kombe la dunia Urusi, imewashangaza wapenzi wa timu hiyo kwa kutoka sare na timu ya Uswisi.

Timu hizo zimetoka sare kwa  bao moja kwa moja jambo ambalo limezidisha mashaka na  kiwi cha kutaka kumjua mshindi wa kombe la dunia baada ya Brezil kushindwa kuibuka mshindi dhidi ya Uswisi timu ambayo ilikuwa ikitabiriwa kuchapwa na Brazil.

 


Tagi: Uswisi , Brazil

Habari Zinazohusiana