Galatasaray yashinda kombe la Super Ligi la Uturuki

Timu ya Galatasaray yajishindia kombe la Super Ligi ya Uturuki kwa kuşchapa timu ya Göztepe kwa bao moja kwa sifuri

Galatasaray  yashinda kombe la Super Ligi la Uturuki

Timu ya Galatasaray yajishindia kombe la Super Ligi ya Uturuki kwa kuizaba timu ya Göztepe kwa bao moja kwa sirufi  katika mechi kali iliochezwa mkoani İzmir. Timu ya Galatasaray imejipatia ushindi wake wa 21 tangu kaunza kwa michiuna ya Sper Ligi ya Uturuki.

Bafetimbi Gomis ndie mchezaji ambae amifungia timu ya Galatasaray na kuipatia ushindi.

 

 Habari Zinazohusiana