Franck Ribery kuongeza mkataba na Bayern München

Franck Ribery kuongeza muda wa mwaka mmoja kuendelea kuchezea timu ya Bayern Munchen ya Ujerumani

Franck Ribery kuongeza mkataba na Bayern München

Franck Ribery kuongeza muda wa mwaka mmoja kuendelea kuchezea timu ya Bayern Munchen ya Ujerumani

Nyota wa kimataifa wa kabumbu wa Ufaransa anaechezea timu ya Bayern Munchen ataongeza muda wa  mwaka mmoja hadi mwaka 2019. Taarifa hiyo ilitolewa na jarida la  Kicker la Ujerumani katika toleo lake la  Aprili 12.

Timu  ya Bayern  Munich inataraji kuongeza mkataba wake na Franck Ribery ambae kwa sasa ana umri wa miaka  35 hadi mwaka 2019.Habari Zinazohusiana