Arda Turan afunga ndoa

Arda Turan mchezaji nyota wa kkabumbu afunga ndoa

Arda Turan afunga ndoa


 

Mchezaji nyota wa kabumbu  kutoka Uturuki aliefanyiwa uhamisho kutoka katika timu ya Barcelona na kuhamia timu ya Başakşehir  ya Uturuki amefunga ndoa na Aslıhan Doğan.

Mchezaji huyo nyota amepeperusha picha za harusi yake katika ukurasa wake katika mitandao ya kijamii.

Rais Erdoğan alihudhuria pia hafla ya harusi ilioandaliwa na kuwatakia maisha mema ya ndoa wanandao wawili waliokubaliana kuishi pamoja na kutengenishwa na kifo pekee.


Arda Turan ametoa shukrani kwa watu wote waliomtakia ndoa njema.Habari Zinazohusiana