Mchezaji nyota wa kabumbu wa Italia afariki

Mechi  zaahirishwa kufuatia kiifo cha Davide Astori kilichotkea akiwa katika hoteli Italia

Mchezaji nyota wa kabumbu wa Italia afariki

 

Mechi za kabumbu zaahirishwa nchini Italia kufautia kifo cha Devide Astori

Shirikisho lamkabumbu nchini Itali limefahamisha kuahirishwa mechi zake zote ambazo zilikuwa zikitarajiwa kuchezwa katika mzunguko wa 27 kundi A kutokana na kifo cha mchezaji wa Fiorentina Davide Astori kilichootkea  Udine nchini Italia.

Mchezaji huyo  mwenye umri wa miaka 31 amekutwa akiwa amefarika katika hoteli ya «Là di Moret» inayopatikana Udine nchini Italia.

Muendesha mashtaka mkuu wa Udine Antonio De Nicolo amesema kuwa mchezaji Davide Astori amedariki kifo cha kawaida.Habari Zinazohusiana