Mohammed Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2017

Mohammed Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora wa soka barani Afrika mwaka 2017

Mohammed Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika mwaka 2017

Mohammed Salah ashinda tuzo ya mchezaji bora wa soka barani Afrika mwaka 2017

Mohammed Salah mchezaji nyota wa timu ya Liverpoon na timu ya taifa ya Misri ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa kabumbu mwaka 2017 barani Afrika.

Mchezaji huyo nyota ameshinda tuzo hiyo kwa kumshinda Saido  Mane kutoka nchini Seenegal, Aubameyang kutoka nchini Gabon.

Aubameyang nie alikuwa na taji hilo mwaka 2016.

Timu ya kabumbu ya taiafa ya  Misri imeshinda pia tuzo ya timu bora ya mwaka 2017.Habari Zinazohusiana