Ulimwengu wa michezo

Ulimwengu wa michezo

Ulimwengu wa michezo

Mashabiki wa soka watajikusanya nchini Urusi kutizama ni nchi gani itachukua kombe la dunia 2018 .Kombe litaenda bara gani Ulaya,Amerika, Asia au Afrika? .

Mechi zitakazochezwa kati ya Juni 14 Julai 15 zitakuwa zikitizamwa na dunia nzima.

Mashabiki wana hamu ya kufahamu je ni nani mbabe zaidi,nyota wa dunia atakua ni yupi,nani atashinda,je kutakuwa kuna jipya gani katika mashindano hayo?

Majibu ya maswali hayo yatajibiwa na makundi nane ya timu:

Kundi la A, Urusi, S.Arabia, Misri, Uruguay

Kundi B katika Ureno, Hispania, Morocco, Iran

Kundi C Ufaransa, Australia, Peru, Denmark

Kundi D Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria

Kundi la E, Brazili, Uswisi, Costa Rica, Serbia

Kundi  F Ujerumani, Mexiko, Uswidi, Korea ya Kusini

Kundi G Ubelgiji, Panama, Tunisia, Uingereza

Kundi H Poland, Senegal, Colombia na Japan.

 

Mechi ya kwanza itachezwa kati ya Saudi Arabia na Urusi.

 

Kama vile mpira wa soka, hentball huchezwa kwa mikono.Michuano ya dunia ya wanawake hushindanishwa katika makundi manne;

Romania katika kundi A, Jamhuri ya Czech katika kundi B, kundi C

Urusi, Serbia katika kundi D.

 

Mtelezaji katika barafu wa kimataifa Burak Demirboğa atashiriki katika michuano ya dunia ya barafu.

Mchezaji huyo amejipatia fursa ya kushindana kimataifa baada ya kufuzu katika Madrid ya Tirol nchini Austria.

 

Baada ya kupata ushindi huo Demirboğa atashindana katika michuano ya dunia ya kuteleza katika barafu nchini Italia kati ya 19-25 Machi 2018.

 

Wakati wanariadha wakitokwa na kijasho kupata ushindi,kuna baadhi kati yao hupenda vya raisi.Baadhi ya wanariadha hutumia dawa za kuongeza nguvu,jambo ambalo lilipigwa marufuku.

daktari Michele Ferrari kutoka Italia amepigwa marufuku kwa wanariadha wengi duniani .

Kifungo cha miezi kumi na nane cha Ferrari kilikatangazwa na mahakama ya juu.

Ferrari aliadhibiwa mwaka 2010 kwa kumpa dawa hizo Daniel Tasher.

Lance Armstrong aliyeshinda katika mashindano ya Ufaransa ya Tour de France 1995-2005  alikiri kuwa ametumia madawa ya kuongeza nguvu kutoka kwa daktari Michele Ferrari.

 

maisha ya michezo sikuzote yanahitaji nidhamu, kula vizuri,kufanya mazoezi na kadhalika humpa mwanariadha yoyote maisha bora ya uwanariadha.

Mfano mzuri ni Venus Williams .

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 37 ameweza kufika fainali katika mashindano ya Australia na Marekani na vilevile kuzidi kufanya vizuri katika mashindano ya WTA.

Venus aliskika akisema "Sina nia ya kuacha tenisi, nina mpango kushiriki katika michezo ya olimpiki 2020 Tokyo," alisema.

Venus ameweza kudhinda ubingwa wa GrandSlam mara saba toka mwaka 2000 mpaka sasa na kujishindia medali ya dhahabu akiwa na ndugu yake Serena Williams.

 

 

Tutizame mashindano ya Süper lig ambapo mashabiki walikuwa wakisubiri kwa hamu mechi kati ya Besiktas na Galatasaray.

Kuna wanaodhani kuwa Beşıktaş ina bahati na wengine wanaamini Galatasaray itazidi kuongoza.

Baada ya matokeo,kocha wa Galatasaray Igor Tudorun anasema nini?

Timu ya Beşiktaş imetoka bila goli hata moja katika mechi mbili za mwisho 

Galatasaray ilishinda 5-1 mechi baadae kushindwa tena katika mechi nyingine kwa 2-0.

 

Beşiktaş imeshinda na kupunguza tofauti ya pointi tatu.

Baada ya kuishindia Medipol Başakşehir pointi zimezidi kuongezeka.Fenerbahçe iliishinda mechi katika wiki nne za mwisho na pointi 21. Na pointi 26 zimepatwa na Kayserispor.

Trabzonspor imecheza na Antalya .

Ulimwengu wa michezo hauna mwisho.Habari Zinazohusiana