Matokeo ya kundi A ligi ya mabingwa Ulaya

Matokeo na msimamo wa ligi kundi A baada ya siku tatu ya michuano

Matokeo ya kundi A ligi ya mabingwa Ulaya

Matokeo ya mechi kwenye kundi A :

 

Jumatano


Benfica – Manchester United : 0-1 

Mfungaji Manchester United : Marcus Rashford (64’) CSKA Moscou – FC Bâle : 0-2 

Wafungaji FC Bâle : Taulant Xhaka (29’), Dimitri Oberlin (90’) 
 

Msimamo wa ligi kwenye kundi  A  : 


1. Manchester United ina pointi 9  

2. FC Bâle ina pointi 6 

3. CSKA Moscou ina pointi 3 

4. Benfica ina pointi 0 Habari Zinazohusiana