Nigeria yajipatia tikiti ya kushiriki michuano ya kombe la dunia mwaka 2018

Timu ya taifa ya Nigeria yajipatia tikiti yake  ya kushiriki michuano ya kombe la dunia la mwaka 2018

Nigeria yajipatia tikiti ya kushiriki michuano ya kombe la dunia mwaka 2018

Timu ya taifa ya Nigeria yajipatia tikiti yake  ya kushiriki michuano ya kombe la dunia la mwaka 2018

Timu ya kabumbu ya Nigeria yajipatia tikiti yake ya kushiriki katika michuano ya kombe la dunia la mwaka 2018 baada ya kuicharaza timu ya taifa ya Zambia kwa bao moja kwa nunge(1-0) Jumamosi.

Chipolopolo imejipata katika hali ya kutapatapa baada ya umahiri wa Simon na Moses uwanjani.

Nigeria inashirikimichuano ya kombe la dunia kwa yake ya 6 (1994, 1998, 2002, 2010 na 2014).

Tagi: Urusi , Nigeria

Habari Zinazohusiana