Euro 2017, Timu ya Basketball ya wanawake yafudhu kuingia robo fainali

Timu ya wanawake ya Basketball yafudhu kuingia katika mzunguko wa robo fainali Euro 2017

a milli kadın basketbol.jpg

 

Timu ya wanawake ya Basketball yafudhu kuingia katika mzunguko wa robo fainali Euro 2017

Timu ya wanawake ya Basketball ya Uturuki yafudhu kuingia katika mzunguko wa robo fainali katika michuano ya Euro 2017.

Timu hiyo ya Uturuki imechukua ushindi wake katika mechi zake mbili zilizochezwa.

Uturuki iliilaza timu ya Jamhuri ya Chek kwa magoli 54 kwa 53 katika michuano ya kundi B.

Uturuki itachuana na timu ya Bielorusia ifikapo Juni 19.

Kwa kuwa Uturuki tayari imeilaza Jamhuri ya Chek, na Italia moja moja kwa moja imefudhu robo fainali.Habari Zinazohusiana