Cristiano Ronaldo ajaaliwa watoto mapacha

Nyota wa klabu bingwa ya Real Madrid Cristiano Ronaldo amekuwa baba tena kwa kupata watoto mapacha

Cristiano Ronaldo ajaaliwa watoto mapacha

Nyota wa soka wa kimataifa kutoka Ureno Cristiano Ronald ameripotiwa kujaaliwa na watoto na kupata mapacha .

Nyota huyo ambapo hapo awali mwaka 2010 alipata mwana wake wa kwanza wa kiume Cristiano Juniour,amepata mapacha mmoja wa kiume mwengine wa Kike kutoka kwa mwanamke aliyebeba mimba kutoka yai la mwanamke mwengine .

Mwanamke huyo anasemekana kutokea upande wa Magharibi wa pwani ya marekani.

Mapacha hao wawili walizalia siku ya Alhamis .

Cristiano Ronald ambaye sasa ana miaka 32 sasa yupo na uhusiano wa kimapenzi na mwanamitindo kutoka Uhispania Georgina Rodriguez..

 Habari Zinazohusiana