Rais Reccep Tayyip Erdoğan azungumza na rais Mahmud Abbas

Rais Reccep Tayyip Erdoğan azungumza na rais Mahmud Abbas kwa njia ya simu kuhusu yanayoendelea ukanda wa Gaza

Rais Reccep Tayyip Erdoğan azungumza na rais Mahmud Abbas

Rais wa Uturuki Reccep Tayyıp Erdoğan amezungumza  kwa njia ya simu na rais wa Mamlaka ya  Palestina Mahmud Abbas.

Kwa mujibu wa vyanzo  vya habari kutoka osifi ya rais, rais wa Palestina Mahmud Abbas amempigia simu rais Reccep Tayyıp Erdoğan na kuzungumza kuhusu hali inayoendelea  Ukanda wa Gaza.

Katika mazungumzo hayo rais Erdoğan amesema Uturuki inaunga mkono harakati za Palestina.Habari Zinazohusiana