Kundi la PKK lasalia katika orodha ya makundi ya kigaidi

Kundi la wapaiganaji wa PKK lasalia katika orodha ya Umoja wa Ulaya ya makundi ya kigaidi

pkk.jpg

Kundi  la wapaiganaji wa PKK  Uturuki lasalia  katika orodha ya  Umoja wa Ulaya ya makundi ya kigaidi , yafahamisha tume  maalumu kutoka Ulaya.

Tume amaalumu kutoka Umoja wa Ulaya nchini Uturuki imesema kuwa kundi la wapiganaji wa PKK latasalia katika orodha ya  Umoja wa Ulaya la makundi ya kigaidi.

Wajumbe hao wamefahamisha katika tangazo kuwa uamuzi wa mahakama ya UU haitobadilisha msimamo wake kuhusu kundi la PKK.

Ifahamike kuwa  baraza la Ulaya liliorodhesha kundi la wapiganaji la PKK katika makundi ya kşgaidi  mwaka 2002.Habari Zinazohusiana