Trump autuhumu Umoja wa Ulaya kufanya kazi zake kama adui

Rais wa Marekani Donald Trump autuhumu Umoja wa Ulaya kuwa kama adua katika sekta ya biashara

Trump autuhumu Umoja wa Ulaya kufanya kazi zake kama adui

 

Rais wa Marekani Donald Trump autuhumu Umoja wa Ulaya kuwa kama adui katika skta ya biashara.  Akitarajiwa  kukutana na rais wa Urusi Vladimir Putin mjini Helsinki, rais wa Narekani Donald Trumo ameuthumu Umoja wa Ulaya kuwa kama adui katika sekta ya biashara.

"Tuna maadui wengi.  Tukiangazia kwa kile ambacho  kinatekelezwa na Umoja wa Ulaya katika sekta ya biashara , tunaweza kusema kuwa Umoja wa Ulaya pia ni adui weyu" amesema rais wa Marekani Donald Trump. 

Hayo rais wa Marekani ameyazunguza ameyazungumza  katika mahojiano aliofanya katika kituo cha runinga cha CBS.

Kwa mujibu wa  Trump , China na Urusi ni maadui  kwa namna nyingine katika  sekta ya uchumi na biashara. 

 Habari Zinazohusiana