Wapalestina 10 wakiwemo waandishi wa habari wakamatwa na jeshi la Israel

Walestina 10 wakiwemo waandishi wa habari wakamatwa na jeshi la Israel Ukingo wa Magharibi

Wapalestina 10 wakiwemo waandishi wa habari wakamatwa na jeshi la Israel

Walestina 10 wakiwemo waandishi wa habari wakamatwa na jeshi la Israel Ukingo wa Magharibi

Jeshi la Israel lawakamata wapalestina 10 wakiwemo waandishi wa habari katika maandamano ya amnai ya kupinga  kupokonywa kwa ardhi  Kusini mwa Ukingo wa Magharibi.

Waandishi wawili wa habari pia wamekamatwa na jeshi la Israel.

Maandamano hayo yamefanyika katika eneo la Bani Naim, Mashariki mwa Hebron. jeshi la Israel limefahamisha kufunga eneo hilo.

Mashhour Wahwah  na Azmi Banat ndio waandishi wa habari waliokamatwa na jeshi la Israel.Habari Zinazohusiana