Magaidi 26 wa kundi la PKK waangamizwa na jeshi la Uturuki

Jeshi la  Uturuki lawaangamiza  mgaidi 26 wa kundi la PKK katika operesheni ya anga katika maeneo tofauti  Kaskazini mwa Irak

Magaidi 26 wa kundi la PKK waangamizwa na jeshi la Uturuki

Jeshi la  Uturuki lawaangamiza  mgaidi 26 wa kundi la PKK katika operesheni ya anga katika maeneo tofauti  Kaskazini mwa Irak

Jeshi la Uturuki lafahamisha kuwaangamizwa magaidi wa kundi la PKK katika operesheni ya anga ilioneshwa Avaşin-Basyan, Diyarbakır ,Şırnak na Kaskazini mwa Irak. Operesheni hiyo ya anga imeendesha usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu.

Taarifa ilitolewa na makao makuu ya jeshi la Uturuki imesema kuwa operesheni hiyo  imeendeshwa kwa lengo la  kuwaondoa magaidi katika maeneo hayo.

Jeshi la Uturuki limelenga ngome za magaidi na hifadhi za silaha  katika maeneo tofauti ambayo magaidi wanatumia  Kaskazini mwa Irak na Uturuki.

Magaidi 26 ndio walioangamizwa katika operesheni hiyo.

Tagi: PKK , ugaidi , Irak , Uturuki

Habari Zinazohusiana