Jeshi la Uturuki lawaangamiza wanamgambo 9 wa kundi la PKK Kaskazini mwa Irak

Jeshi la Uturuki lawaangamiza wanmagambo 9 wa kundi la PKK katika operesheni ilioendeshwa Kaskazini mwa Irak

Jeshi la Uturuki lawaangamiza wanamgambo 9 wa kundi la PKK Kaskazini mwa Irak

Jeshi la Uturuki lawaangamiza magaidi 9 wa kundi la PKK Kaskazini mwa  Irak.  Ngome na hifadhi za silaha za magaidi wa kundi la PKK zimeshambuliwa na jeshi la Uturuki katika operesheni zake Kaskazini mwa Irak.

Jeshi la Uturuki limetaoa taarifa hiyo Jumapili baada ya kuendesha operesheni yake hiyo Kaskazini mwa Irak.

Jeshi la anga la Uturuki limelenga ngome hizo za magaidi Jumamosi Çukurca.

Zap, Avasin-Basyan  ni miongoni mwa maeneo yalioshambuliwa na  jeshi la anga la Uturuki Kaskazini mwa Irak.

 

 


Tagi: ugaidi , Irak , Uturuki

Habari Zinazohusiana