Nikki Haley azomewa na kuitwa muuaji

Balozi wa Marekani Umoja wa Mataifa Nikki Haley ameshambuliwa kwa maneno na wanafunzi katika chuo kikuu cha Houston.

Nikki Haley azomewa na kuitwa muuaji

Balozi wa Marekani Umoja wa Mataifa Nikki Haley ameshambuliwa kwa maneno na wanafunzi katika chuo kikuu cha Houston.

Wakati akitoa hotuba wanafunzi walisimama na kupinga mauaji ya Palestina.

"Nikki damu ya wapalestina ipo katika mikono yako",walizomea wanafunzi.

"Huwezi kujificha kwani umeruhusu mauji ya kimbari Nikki,nyie ni magaidi na wakoloni",walisema wanafunzi hao.

Walimalizia kwa kusema,"Utaona Nikki Haley,Palestina itakuwa huru."Habari Zinazohusiana