Shirika la misaada la Uturuki İHH latoa msaada nchini Afghanistani

Shirika la kutoa misaada la Uturuki İHH latoa msaada kwa  familia 700 nchini Afghanistani

Shirika la misaada la Uturuki İHH latoa msaada nchini Afghanistani

Shirika la kutoa misaada la İHH la Uturuki latoa msaada kwa familia 700 nchini Afghanistani kupitia shirika la Hedef.  Reşat Başer, mkurugenzi wa shirika la İHH  amesema kuwa  shirika hilo  linataoa msaada kwa familia  700 katika kipindi cha  Ramadhani ikiwemo pia mjini Kabul.

Mkurugenzi huyo amesema kuwa  chakula cha kutosheleza watu 1 200 kitatolewa katika kipindi cha Ramadhani na wtu 480 katika kipindi cha siku kuu.

Shirika la İHH linetoa pia msaada kwa watoto yatima nchini Afghanistani.Habari Zinazohusiana